Kweli naamini watu wana machale yaani nilikuwa najiuliza imekuwaje kimya muda mrefu hivi nikaingia hapa kibarazani na kuperuzi weeeee...Ni furaha ilioje kuwa umerudi karibu sana tena sna PAMOJA DAIMA.----NITAPITA HUKU KWINGINE..
Zipo kaka,ila za kutosha,tena ni ww na nauli yako,kuna za choka mbaya,za middle classy na za kishua kabisa,ni nauli yako tu ndo ina determine ugumu na urahisi wa usafiri
Kweli naamini watu wana machale yaani nilikuwa najiuliza imekuwaje kimya muda mrefu hivi nikaingia hapa kibarazani na kuperuzi weeeee...Ni furaha ilioje kuwa umerudi karibu sana tena sna PAMOJA DAIMA.----NITAPITA HUKU KWINGINE..
ReplyDeleteKaribu sana ,asante kwa kuwa pamoja,God bless u
ReplyDeletebig up my mdada...........
ReplyDeleteDogo uko wapi? kimya kingi,shule imeisha? Hongera. Kama utaingia tena nicheck ktk email yangu.kusuwili@gmail.com.Nice to hear from u
ReplyDeletepande za uko vipi daladala zipo, ha ha ha ha mana hku usafiri shida mbaya...........
ReplyDeleteZipo kaka,ila za kutosha,tena ni ww na nauli yako,kuna za choka mbaya,za middle classy na za kishua kabisa,ni nauli yako tu ndo ina determine ugumu na urahisi wa usafiri
ReplyDeleteSizzling Hot Online
ReplyDelete